Idara ya waqfu iliyo chini ya Wizara ya Waqfu nchini Misri, imeamuru kufungwa msikiti wa Imamul-Hussein (as) mjini Cairo kuanzia jana Alkhamis hadi baada ya kesho Jumamosi ikiwa ni katika kuwazuia Waislamu wa Kishia kutekeleza marasimu za Taasua na Ashura.
Habari ID: 3392920 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/23